Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani wakitoa Sadaka ya Unga, Mchele, Sukari, na Mafuta ya kupikia kwa watu mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskani Unguja.
Mmoja kati ya Wazee wa kijiji cha Kilimani Tazari akipokea Sadaka iliotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamad akimkabidhi Mtoto ambae alifuatana na Mama yake Sadaka ya Mafuta ya Kupikia kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...