[20:21:38] Ngoma Africa: :jamaa wana roho mbaya sana hawa, asalamaleko wallahi....
[20:22:57] Ngoma Africa: tena gitaa lenyewe bei mbaya harafu made in Gerezani (sido)  kariakoo,Uswahilini ndani huko....
[20:24:55] Ngoma Africa: na mlinzi Sajenti kopro (Dog) Domobaya alikuwa kalala fofofoooo (worry) Wallahi  nitamfuta kazi akiendelea na tabia hizi. Juzi juzi tu walitaka kulamba bundi, yeye kalala fofofoooo....ebo! Jibwa gani hili?
[20:26:24] Ngoma Africa: Gitaa lenyewe  limetengenezwa kwa chuma cha pua na nyuzi zake ni za nondozzzz. Uzito nusu tani. jamaa walitia timu na winchi, we acha tu! Kama nisingekuwa jirani ingekuwa kwishnei...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda mkuu pole mbona wangekurostisha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda gita hili mbona linatisha ?
    nyuzi zake !

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda hao vibaka hawana uwoga ? mpaka kombora la afande wanataka kulala nalo mbele

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda inawezekana yule jirani yako
    alieibiwa viatu na bundi wako sasa analipiza kisasi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda itakuwa watoto kariakoo wenzio si mnao huko?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda ras makunja huo mchoro lazima kuna mtu kachonga dili,hilo gitaa si lipo karibu na banda la Mbwa domo baya ! inakuaje kopro domobaya alale?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2014

    Sajenti Kopro Dog domobaya wa FFU lazima afukuzwe kazi kwa kulala lindoni hafai ata chembe

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2014

    kamanda gitaa lako mali sana lazima lingepelekwa makumbusho

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2014

    sasa kama kommbora lingekwenda na bundi naye angeibiwa inamaana ndio
    himaya yote ya viumbe wa ajabu anunnaki aka ffu imengevuliwa nguo!
    na nembo zote za himaya zingekwenda?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2014

    Hili dude lingeibwa TUNGEANDAMANA!!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2014

    Duh! NyuZi za Nondo???? Kamanda Noma!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 13, 2014

    waliosuka mpango huu wa kutaka kuisaliti ngome ya kamanda mkuu lazima watafutwe na hatua za kisheria ziwashukie kama radu, wanataka kuchukua nembo za FFU !
    hii akili au matope

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 13, 2014

    kamanda huyo mbwa domo baya kishakuwa mzee mbona siku zile alikuwa mlinzi mzuri tu..sasa kulikoni tena?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 13, 2014

    kamanda hili gitaa lako mie nimelipenda tuelewane uniuzie

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 13, 2014

    kamanda sasa kombora lingekwenda raia ungewaeleza nini? chukua hatua mlinzi dog domobaya lazima atimuliwe kazini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...