Mkurugenzi
wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye
makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis wakati akiwa na wageni
wake waalikwa mbalimbali wakipata iftari ya pamoja kwenye hafla hiyo,hafla iliyofanyika katika studio za redio hiyo zilizopo Njiro jijiniArusha iliyohudhuriwa na Viongozi wa dini na wadau wengine.

Sheikh Mkuu
wa Bakwata mkoa wa Arusha,Shaaban Juma aliyekuwa mgeni rasmi katika
halfa hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Tan Communication Media.

Mbunge wa Arusha Godbless Lema wa pili kutoka kushoto naye alihudhuria halfa hiyo.

Mchekeshaji
kutoka nchini kenya Peter Sankale maarufu kama “Olexander
Jospat”katika igizo la VIOJA MAHAKAMANI akitoa burudani baada ya Futari.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...