Kocha Kennedy Mwaisabula kupitia kampuni yake ya Kenny Mwaisabula Enterprises anaandaa tamasha kubwa la wachezaji wa zamani linalotarajiwa kufanyika 14 Oct, 2014 hapa Dar Es Salaam, wachezaji 300 wanatarajiwa kushiriki na baadae kutoa wachezaji 25 bora watakoshiriki mashindano ya wakongwe ya Afrika Mashariki.
Picha kulia ni Kenny Mwaisabula akimshukuru Ndg. Phares Magesa (kushoto) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM ambaye ni mdau wa michezo kwa kukubali kuwa mmoja wa wawezeshaji wa tamasha hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...