Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya jengo la Bunge la Tanzania Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg mara baada ya kufanya nae mazungumzo ofisini kwake leo. Spika Miltenburg yupo nchini na Ujumbe wa Wabunge wanane kutoka Bunge la Uholanzi kwa ziara ya kikazi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg na ujumbe wake mara baada ya kukutana nao leo. Picha na Owen Mwandumbya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...