Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF. kutoka kulia ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu na (katikati) ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro. mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF. kutoka kulia ni na (katikati) ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro.
Mkurugenzi wa shirika la habari Tanzania (TBC) Clement Mshana akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, Mkutano huo umefadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa mkoani Morogoro ulioanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, Mkutano huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akijaza fomu ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF baada ya kufungua mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambao ulidhaminiwa na Mfuko wa Pensheni wa Pensheni PSPF mkoani Morogoro ulioanza julai 14 hadi 23 huku akishuhudiwa na Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu kulia na kushoto Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro na nyuma yao ni Costantina Martin ambaye ni Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...