Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church,Dr. Roghatte Swai akimtambulisha moja ya wachungaji waliohudhuria sherehe za Miaka 75 ya uwepo wa kanisa la TAG hapa nchini,ambazo ziliambatana na sherehe za wanaume kanisani hapo.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church aliyevaa tai nyekundu, akiwa katika picha ya pamoja na wageni mbalimbali waliohudhulia sherehe hizo za miaka 75 ya uwepo wa kanisa la TAG hapa nchini, sherehe ambazo pia ziliambatana na zoezi la kutoa damu.
Sehemu ya waumini Kanishani hapo.
Mchungaji kiongozi wa kanisa la kinondoni reviral church dr roghatte swai na mkewe, wakiwa katika picha ya pamoja na wachungaji na viongozi wandamizi wa kanisa hilo muda mfupi baada ya kumalizika kwa sherehe ya miaka 75 za kanisa la TAG.
mmoja wa maafisa wa Idara ya damu salama, akiongoza zoezi la utoaji damu kwa baadhi ya waumini wa kanisa la kinondoni reviral church ambapo zaidi ya waumini 70 walijitolea damu katika sherehe za miaka 75 ya TAG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...