Familia ya Mzee Constantine Andrea Lupilya inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa(Constantine A.Lupilya) kilichotokea katika hospital ya Bugando jijini Mwanza usiku wa kuamkia jana.
Tarehe ya kifo. 1.7.2014 Kuzikwa ni alhamisi 3.7.2014 Mazishi yanafanyika Nyakato Mhandu Kakebe. Kwa niaba ya familia Emmanuel Constantine Lupilya. Bwana ametoa na Bwana ametwaa.
Amin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...