Marehemu Mzee Godfrey Daud Msei

Mpendwa Baba yetu, mpaka kufikia tarehe 15 Julai 2014 umetimiza mwaka mmoja tangu ulipoitwa na Bwana bila ya neno la kwaheri kwetu.Tunakukumbuka sana na tunakosa uwepo wako,upendo wako na ucheshi wako ila tunasema kiroho tuko pamoja nawe daima.

Unakumbukwa na Mkeo,Bi. Elizabert,Watoto zako Fabian Msei,Daud Msei ,Angella Msei,Jonathan (Gia) Msei,Rev. John Msei pamoja na James Msei,Wajukuu zako,Mama yako Mzazi Bi. Mboza,Dada zako,Shemeji zako,Kaka zako,ndugu,jamaa na Majirani.

Pengo lako halitazibika daima,tunamuoma Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi.

-Amin.

Misa ya shukrani itafanyika katika kanisa la Anglikana,Mwenge/Kijitonyama jijini Dar es Saalam,siku ya jumamosi tarehe 19 Julai 2014.

Wote mnakaribishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2014

    Alikuwa mcheshi mzee mseyi, mungu ailaze roho yako mahali pema peponi. Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...