Home
Unlabelled
biashara matangazo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwani jamani ni lazima tutumie kienglishi?
ReplyDeleteYawezekana.....mchoraji alipewa maelekezo kwa njia ya imra/dictation akaandika anachojua yeye...hahahahahahha ...ujanja ujanja huu Dar upo mwingi tu na maisha yanasonga kama kawa.....
ReplyDeleteMtowa maoni wa pili umeteleza kidogo na wewe, hilo neno ni IMLA siyo imra kama ulivyoandika hapo.
ReplyDeleteHata hivyo 'message sent' cha msingi ni maana iliyokusudiwa katika tangazo hilo, spelling baadae.
Kwanini hatujivunii lugha yetu jamani au wenye magari wengi wanaongea kiingilishi
ReplyDeleteSasa Anonymous hapo juu umejuaje kama hapa ni Dar Es Salaam? Labda ni Lilongwe ama Nairobi ama Kampala? Tusiwe tuna- conclude bila kufanya utafiti jamani
ReplyDeleteHiki kiingereza kinatupa tabu lakini hatubabaishwi tunakiandika hivyohivyo kwa kiswahili. Pengine tusije tukakosa mteja wa kizungu.
ReplyDeleteiko poa. kwani lugha yetu? ujumbe umefika.
ReplyDelete