Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake wakati akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa kisiwani Pemba leo. Ametembelea jumla ya wagonjwa wanane katika vijiji tofauti vya Wilaya hiyo vikiwemo, Chonga, Wesha, Ziwani, Wawi na Vitongoji Kibokoni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akishiriki kwenye dua ya pamoja ya kuwaombea ndugu waliotangulia mbele ya haki wakati alipotembelea moja ya nyumba Wilayani Chake Chake leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...