Sikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mtunzi wa Vitabu vya Utaalamu wa Mapishi Benn Haidari kutoka Stockholm nchini Sweden. alipolonga na Swahilivilla.blog   Bofya  HAPA kwa ununuzi wa Vitabu vyake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2014

    Kumbe na Finland nako kuna Stockholm...nilifikiri hiko ile moja tu ya Sweden!Soma Michuzi ujifunze mengi...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2014

    Yaani mie huwa nasema kila siku kuwa watanzania hatupo makini! sasa hiyo ni nini? kweli Stockholm ipo Sweden tu jamani! huo ni mji mkuu badilisheni haraka sana. Mungu atusaidie waTz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...