Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiangalia kilimo cha
mazao yenye thamani kubwa, mboga aina ya bilinganya alipotembelea shamba la
mfano katika Banda la Jeshi la Magereza katika Viwanja vya maonyesho ya Kimataifa
ya Biashara, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, Juzi, kulia kwake ni Afisa Mwandamizi
wa Jeshi hilo Bwana Uswege Mwakahesya (Picha kwa Hisania ya WKCU).
Home
Unlabelled
Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sijaelewa Michuzi ukiandika waziri akikagua shamba la mboga....anakagua nini? Ninavyofikiri ingekuwa vyema ungeandika waziri akiangalia shamba la mboga badala ya kukagua.
ReplyDelete