Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje,Mh. Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini,Mh. Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam leo.Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa Katiba Mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya.
Home
Unlabelled
MH. LOWASSA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...