Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, akiwa pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mpwapwa na Viongozi wa kata ya Rudi walipotembelea na kukagua jengo la josho la mifugo lililojengwa kwa nguvu za wananchi na serikali kijiji cha Mtamba kitongoji cha Iramba kata ya Rudi Wilaya ya Mpwapwa.Picha na Mgheni Anthony.
Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene akikabidhi msaada wa magodoro,saruji na mabati kwa Bi.Asha Mtata kwa niaba ya wananchi walioathirika na mafuriko mwanzoni mwa mwaka huu Kijiji cha Chipogolo Kata ya Chipogolo Wilayani Mpwapwa. Msaada huo umetolewa na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) na Ofisi ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafa. Picha na Mgheni Anthony.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...