Home
Unlabelled
michuzi media group na wadau oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal usicheleweshe sana tusambazie kupitia matawi yako Group-Michuzi ughaibuni.
ReplyDeleteMbunifu katoka na ubunifu wa uhakika.Na hawa ma-Supper Model katika video wameziwakilisha kwetu na kwa watalii kimataifa.
Mikidadi-Denmark
I love it! Hongera Kaka Michuzi!
ReplyDeleteBongo ni ulimbukeni tu, kila kitu group group group hakuna ata kuumiza akili jamani ktk kutunga majina?! Group una kampuni ngapi wewe mpaka ujiite group?! Group ya ukweli haishangilii ovyo na wake zao kwa vijit-shirt, ushawahi wapi kumuona Mengi, bakhresa, Manji, Rostam na groups zao wakiwa na wake zao eti wanashangilia kwa ajili wametengeneza t-shirts? Usiwe nyuma kwa akili finyu na mafanikio machache uliyonayo ww piga kazi ankali kama vijana wa FFU ili usonge mbele hacha kulizika ovyo ovyo, ondoa undugu undugu na wake wake kwenye dili zako ZITAKUJA KUFA ZOTE NA UTAKUJA SHANGAA BAADAE YAKHE! Bana au weka komenti yangu lakini meseji senti!
ReplyDeleteHela nzuri, checki ankal ulivyokumbatia hapo..
ReplyDeleteMbona ankal hujavaa zefulanas?
ReplyDeleteHongera bwana Michuzi Mwenyezi aendelee kukujalia, stay focused!1
ReplyDeleteWe mdau wa tatu acha WIVU wa maendeleo wewe, akiita kampuni yake "group" au kuzianika picha na wake zake hewani wewe inakuuma nini? haya yote ni maaumuzi yake, mkewe na kampuni yake, yaani mitanzania mingine wajamani imejaa miwivu ya kishamba shamba tuuu, maendeleo hakuna basi ni kupiga domo tuuuu!
ReplyDeleteHeheeeee! Kumbe huyo ndo mke wa ankal, kwa kifulanaaaa!!!!!!!!!!!! tutayaona mengi wenye macho.
ReplyDeleteSIO WIVU NI UKWELI NA UWAZI, ANKALI ANATAKIWA APIGE KAZI TU NA SIO SHOW OFF ZA KITOTO ZISIZOKUWA NA MAANA. ATA MM NAMUUNGA MKONO MDAU WA 3
ReplyDeleteukweli na Uwazi unafurahisha kweli. Hivi unajua kwamba mwenzio kaanza mambo haya hata kabla ya wewe kujua kutumia internet, na sie tulioanza naye wala hatuoni cha ajabu?. Wivu wa kike huo!!
ReplyDeleteLMAO
Mdau namba tatu hapo juu ungeweza kuwa constructive bila kudhihaki mtu. Ankal keep it up! Dhihaka za wasiotaka kuona mafanikio ya aina yeyote kwa wenzao yasikurudishe nyuma!
ReplyDeleteHakuna mtu mwenye mafanikio duniani bila ya kuambiwa ukweli katika maisha yake na binadamu aliyekamilika ni yule anaekubali kukosolewa ila kama kuambiwa ukweli na mdau wa tatu ni wivu basi endelea na swaga zako ankali ila All in all Big up unatisha saaaana. Libeneke ooooye
ReplyDelete