Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe
za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini
Mbeya leo Julai 13, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of
God (TAG) akiwa na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali
wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa
Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt
Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa
hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014.PICHA NA IKULU
Kuhusu hilo suala la Katiba, msimamo wangu ni kuwa taarifa ya tume ya Jaji Warioba, ambayo inatokana na maamuzi ya wananchi, iheshimiwe. Mfano mmoja: kwa mujibu wa taarifa hiyo, wananchi wanataka serikali tatu. Sioni ugumu wa suala hilo, wala sababu ya kuzungushana.
ReplyDelete