NDUGU MDAU MICHUZI TV SASA IPO HEWANI.
JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!
JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!
TUNAANZIA NA WATEJA WA VODACOM KWA SASA, AMBAO WANAKARIBISHWA KUFUATA HATUA HIZI TANO RAHISI:
(i) PIGA *149*01#
(ii) KISHA CHAGUA NAMBA 6 SIMU.tv (MPYA)
(i) PIGA *149*01#
(ii) KISHA CHAGUA NAMBA 6 SIMU.tv (MPYA)
(iii) HALAFU NENDA NAMBA 2. Habari (BURE),
BAADA YA HAPO
(iv) CHAGUA NAMBA 5 Michuzi TV (BURE)
(v) KISHA CHAGUA NAMBA 1 KUJIUNGA...
(v) KISHA CHAGUA NAMBA 1 KUJIUNGA...
UNAKUWA UMESHAJISAJILI KWA HUDUMA HII MPYA.
LIBENEKE OYE!
Kila la kheri Mjomba Michuzi !
ReplyDeleteNa sasa upo hewani kwenye kioo (TV) baada ya Libeneke.
Mbona Galaxy S5 inakataa?! Why?
ReplyDeleteKwa wale wabeba box itakuwaje?
ReplyDeleteongera michuzi
ReplyDeleteEnhhh Ankali makubwa haya!
ReplyDeleteLeo imeshafika Jumapili ya tarehe 8 Juni. 2014?
Haya masihara ama ni kwa tarehe za Mahsariki ya mbali kama Japan ambako wapo mbele masaa 6?
Huu uchuro sasa Michuzi kusogeza tarehe mbele kuwa ni j2 ya tarehe 8 mwezi wa Sita, 2014 wakati watu tunaomba siku zirudi nyuma tubaki watoto!
ReplyDelete