NDUGU MDAU MICHUZI TV SASA IPO HEWANI. 
JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!
TUNAANZIA  NA WATEJA WA VODACOM KWA SASA, AMBAO WANAKARIBISHWA KUFUATA HATUA HIZI TANO RAHISI:

(i)  PIGA  *149*01#  
(ii) KISHA CHAGUA NAMBA 6 SIMU.tv (MPYA) 
(iii) HALAFU NENDA  NAMBA 2. Habari (BURE), 
BAADA YA HAPO 
(iv) CHAGUA NAMBA 5 Michuzi TV (BURE) 
(v) KISHA CHAGUA NAMBA 1 KUJIUNGA...

UNAKUWA UMESHAJISAJILI KWA HUDUMA HII MPYA. 
LIBENEKE OYE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2014

    Kila la kheri Mjomba Michuzi !

    Na sasa upo hewani kwenye kioo (TV) baada ya Libeneke.

    ReplyDelete
  2. Mbona Galaxy S5 inakataa?! Why?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2014

    Kwa wale wabeba box itakuwaje?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2014

    ongera michuzi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2014

    Enhhh Ankali makubwa haya!

    Leo imeshafika Jumapili ya tarehe 8 Juni. 2014?

    Haya masihara ama ni kwa tarehe za Mahsariki ya mbali kama Japan ambako wapo mbele masaa 6?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2014

    Huu uchuro sasa Michuzi kusogeza tarehe mbele kuwa ni j2 ya tarehe 8 mwezi wa Sita, 2014 wakati watu tunaomba siku zirudi nyuma tubaki watoto!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...