Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) na waombolezaji wakiswalia mwili wa marehemu ambaye ni mama mzazi wa Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea,  Sada Makota. Mazishi ya Mama Mzazi wa Diwani huyo yamefanyika katika Kijiji cha Nangunde, Kata ya Namikango wilayani Nachingwea leo.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kulia) akimfariji Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Sada Makota kwa kufiwa na mama yake mzazi, wakati alipofika nyumbani kwa Diwani huyo wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika katika Kijiji cha Nangunde, Kata ya Namikango wilayani Nachingwea leo.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya Mama Mzazi wa Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Sada Makota, wakati alipofika nyumbani kwa Diwani huyo katika Kijiji cha Nangunde, Kata ya Namikango wilayani Nachingwea leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (aliyevaa Miwani) akiwa na waombolezaji wa msiba wa Mama Mzazi wa Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Sada Makota. Mazishi ya Mama Mzazi wa Diwani huyo yamefanyika katika Kijiji cha Nangunde, Kata ya Namikango wilayani Nachingwea leo. Picha zote na Felix Mwagara wa WMNN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...