Mdau Michael Machella amefiwa na Mtoto wake wa kike, Everlyne Michael Machellah, katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Marehemu, ambaye alikuwa ana umri wa mwaka mmoja, alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.
Mazishi yanatarajiwa kuyafanyika kesho. Muda na wapi tutawajulisha.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe milele
Amina.
poleni sana wafiwa, Mola awatie nguvu na ampumzishe mtoto Everlyne mahala pema peponi. Amin
ReplyDeletePOLENI SANA NA MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NA KUWAPA NGUVU
ReplyDelete