Mdau Michael Machella amefiwa na Mtoto wake wa kike, Everlyne Michael Machellah,  katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Marehemu, ambaye alikuwa ana umri wa mwaka mmoja,  alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.
Mazishi yanatarajiwa kuyafanyika kesho.  Muda na wapi tutawajulisha.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa 
Jina la Bwana lihimidiwe milele 
Amina.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. poleni sana wafiwa, Mola awatie nguvu na ampumzishe mtoto Everlyne mahala pema peponi. Amin

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2014

    POLENI SANA NA MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NA KUWAPA NGUVU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...