Hii ni mojawapo ya kazi za MICHUZI MEDIA GROUP. Wasiliana nasi ukihitaji huduma kama hii kwa kampuni ama taasisi yako...Bofya hapo "Contact us" kwa mawasiliano na huduma zenye ubora wa kimataifa.
Home
Unlabelled
mwandani wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere (New Terminal III Project)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Documentary nzuri sana na imepangika. Well done Michuzi.
ReplyDeleteInapendeza sana kwa mtindo huu, tutakuwa tumefika mbali Tanzania sawa na wenzetu wa Dubai, USA and Amstredam. Hongera sana serikali ya Tanzania kwa juhudi hii kubwa. Mungu abariki mradi huu ufanikiwe kwa wakati wake.
ReplyDelete
ReplyDeleteWajina nimekubali, walah hii ni yakimataifa na kila idara imekamilika msimulizi ametulia, background music safi video ipo clear, mtiririko wa stori umepangiliwa.
keep up the good job.
Ankali,
ReplyDeleteFanza upande TAZARA DSM hadi Kapiri Mposhi documentary.
mbili, shughuli za Bandari DSM.
Tatu reli ya Kati DSM mpka mwisho wa reli ziwani Tanganyika na Viktoria.
Naona wamezungumzia jengo kwa sana,, vp kuhusu upanuzi wa barabara za ndege? or ndege zitakuwa zinasubiriana angani,? we need kuwa na more than two runway, naamanisha barabara za ndege kubwa..Ikiwa eneo halitoshi,, tutafute eneo lingine. sio lazima tujibane pale ,, tuige wenzetu wa shanghai,,Pudong and Hunchao...ni viwanja viwili totafauti kwenye mji mmoja, tuendeleze mji wetu kwa kuutanua ili tupunguze msongamano... na sio kuruundikana sehemu moja kisha kuwalipa watu fidia ambayo ingetumika kwa manufaa mengine. Tuamke na tukimbie, si mda wa kutambaa tena,,,
ReplyDeleteWe Kenge Mtoto,
ReplyDeleteUnachoongelea kuhusu runway expansion ni kweli muhimu sana ,ila limeongelewa na lipo ktk hii project yao ingawa wahajajukuwa muda murefu kuliongelea labda huja note.
Kuhusu viwanja kingine kijengwa Dar no sikuungi mkono..kinachotakiwa ni kuboresha usafiri wa ardhini barabara za magari na reli.Utaona waziri wa uchukuzi kaongelea mpango wa kujenga reli ya kuunganisha kiwanja cha ndege na sehemu zingine za jiji ila sina uhakika kama watfanikisha sambamba na umaliziwaji wa ujenzi wa kiwanja cha ndege 2015..ukizingatia wabongo tunamipango mingi utekelezaji uko slow...just imagine mpango wa upanuzi Terminal 3 ulianza 2008.
Nacho shauri wakimaliza ujenzi huu wafanye matangazo kwa watalii maana wengi wamekerwa na usumbufu wa airport na hawapendi kupitia dar so watangaze....
Mdau Kenge Mtoto, Barabara ya ndege inatosha kabisa kwa sasa. Naelewa inauwezo wa kuhudumia ndege 30 tu kwa kila saa moja, kutua na kuruka. [http://www.theeastafrican.co.ke/business/-/2560/870442/-/4d75thz/-/index.html]
ReplyDeleteKuhusu uwanja mpya, mi naamini utakuwa kaskazini mwa Bongo karibu na eneo la Mbegani; na tunaweza kuipatia jina la Jakaya Kikwete Airport [bila kuweka neno "kimataifa"] Tayari mradi uko chini ya mipango [under planning].. Kama Mkurugenzi Mkuu Eng.Suleiman alivysema, anatarajia baada ya kukamilika T3, abiria wanaotumia JNIA utakuwa > milioni 4.
Kwa hiyo, kama abiria itakuwa unaongezeka, basi hatuna budi kujenga mradi wa greenfield. Na JNIA utakuwa kama Lusaka City Airport na London City Airport - na kutupatia safari za ndani na ya kikanda tu. [domestic and regional flight].
Dah kaka hii documentary imetulia sana,sauti iko safi,msimulizi,umezingatia ubora katika kila kitu.Kazi nzuri sana kaka.Hongera sana.
ReplyDeletekuhusu upanuzi wa runway mbona upanuzi mkubwa ulishafanyika hasa upande ule wa Kitunda,kama ukisafiri kwa kutumia terminal I utaona mabadiliko ya runway yaliyokwisha fanyika katika miaka ya hivi karibuni.
... Thanks kwa updates,, ndugu Ali tx kwa updates.. ila Sababu ya kutoa mfano wa shanghai, ni kwamba walikuwa na old city,wakaona haotoshi na hawawezi kuubomoa , ikabidi waje na plan ya kutengeneza na kubuni new city..now shanghai kuna west na east.. Hii itasadia kupanua Dar es salaam, bila kubugudhi old city.. Sio kubomoa posta/samora bali ni kudesign new city na miondombinu yake ...at the end tutakuwa na Dar Nzuri kila kona.. Na sio posta tu...
ReplyDelete