Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa (wa pili toka kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu Hifadhi za Taifa,Allan Kijazi (mwanzo kushoto),wengine ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Wanyamapori, Paul Sarakikya na mwisho kabisa kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wakati wa kufunga Warsha ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za
Taifa,(TANAPA)  na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA,Pascal Shelutete akifanya utamburisho kwa washiriki wa Warsha hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Nashera Mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,TANAPA ,Allan Kijazi akizungumza neno kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahamoud Mgimwa kwa ajili ya kutoa hotuba na kisha kufunga warsha hiyo.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa akitoa hotuba yake ya kufunga Warsha ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za Taifa,(TANAPA) na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...