Kikundi cha Quality Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka wilaya ya Kinondoni.
Kikundi cha Wakali Dance kutoka Bugurunii jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kucheza wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Kikundi cha Worries cha Kimara jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...