Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mrs Eunice Chiume (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa uhusiano wa shirika hilo katika maonyesho ya Sabasaba  yanayoendelea katika viwanja ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Meneja Kiongozi, Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs Eunice Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii akifafanua jambo kuhusu Bima ya Afya kwa mwanachama alietembelea Banda hilo katika maonyesho ya Sabasaba.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2014

    Hivi ni "Maonyesho" au "Maonesho", siku zote natumia "maonyesho".

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2014

    ila ofisi zenu za wilaya ni wasumbufu sana hasa Kilombero na Ulanga

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2014

    anakosea michuzi, kiswahili fasaha ni "maonyesho"
    ila naye makosa katika uandishi wake mbona ni mengi sana, ila ukimshutumua anasema ati ni msemo wake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...