’


Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mrs Eunice Chiume
(Katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya maafisa uhusiano wa shirika hilo katika maonyesho ya Sabasaba
yanayoendelea katika viwanja ya Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere.
Meneja Kiongozi, Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs Eunice
Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii akifafanua jambo kuhusu Bima ya
Afya kwa mwanachama alietembelea Banda hilo katika maonyesho ya Sabasaba.

Hivi ni "Maonyesho" au "Maonesho", siku zote natumia "maonyesho".
ReplyDeleteila ofisi zenu za wilaya ni wasumbufu sana hasa Kilombero na Ulanga
ReplyDeleteanakosea michuzi, kiswahili fasaha ni "maonyesho"
ReplyDeleteila naye makosa katika uandishi wake mbona ni mengi sana, ila ukimshutumua anasema ati ni msemo wake