Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
akabidhiwa kitambulisho Maalumu cha kielektoniki kwaajili ya Kuingia katika
Maonesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa ya Sabasaba kutika Kwa bwana Ahmed
Lussasi Mkurugenzi uendeshaji wa kampuni ya Maxmalipo
Rais. Jakaya Mrisho alipata Nafasi ya kuzungumza
na Maafisa wa Maxmalipo Juu ya Mfumo wa Kieletroniki wa Ticket (e-Ticketing
System) uliofungwa na Maxmalipo Katika viwanja Vya Sabasaba. Pia Mheshimiwa
Rais alijionea Jinsi Mfumo huu unavyodhibiti na kuboresha Ukusanyaji wa Mapato
katika msimu huu wa Maonesho ya sabsaba. Mfumo huu wa kisasa pia Unauwezo wa
kusimamia mapato katika nyanja mbalimbali kwa kutumia Barcode technology pia na
Facial detection.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Maxmalipo Bw. Ahmed Lusasi akifafanua
Jambo kwa Mh. Dr. Jakaya Mrisho wakati alipo Tembelea Banda la Maxmalipo ndani
ya Viwanja vya sabasaba.
Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (Rais) Akitizama kwa Umakini na kupata
maelekezo Juu ya mfumo wa kielektoniki wa Ticket unavyotumika sabasaba na
unavyowezakutumika sehemu Mbalimbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...