Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mshine za kutengeneza matofali aina ya Hydraform ambazo zitagawanywa kwenye wilaya zote za Mkoa wa Tanga ili kuwawezesha kuanzisha vikundi vya ujenzi vya vijana.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Galawa.Mashine hizo zilitolewa wakati wa Uzinduzi wa nyumba za bei nafuu Wilayani Mkinga(Picha na Freddy Maro) .
PICHA ZAIDI BOFYAHAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2014

    Hongera sana NHC!

    La muhimu hizo nyumba ziwe za kuiwezeshaji na sio kuwa za kuikwamishaji kwa kuwa na bei ya juu kama Tsh. 100 Milioni, au hata pia Tsh. 50 Milioni kwa mpigo ama zaidi kiasi ambacho kwa Mtanzania wa kawaida sio rahisi kuzipata labda awe muuza Unga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...