Rais Obama wa MArekani akipata pizza na wananchi wa Denver, akiwa katika ziara yake ya kutembelea wananchi wa kawaida mitaani na kuzungumza nao mamo ya maisha na changamoto wazipatazo. Wananchi hawa walimwandikia barua Rais Obama na kumtaka awatembelee
Rais Obama akiongea na mwanamama Kinsey Button katika Mgahawa wa Magnolia mjini Austin, Texas
Rais Obama akiongea na wananchi mitaani Denver.
Picha kwa hisani ya Pete Souza wa White House
Picha kwa hisani ya Pete Souza wa White House
Wenzetu wameendelea kiulinzi anaongea na wananchi wake unaona anatembea mtaani lkn kila sehem kuna camera huwwzi ukawa na nia yakumzuru usikamatwe kabla kumfika
ReplyDeleteMmmhhh dar si usa
ReplyDeleteHata JK anafanya mambo hayo ya kijamii
ReplyDeleteziara ilifana sana
ReplyDelete