Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Grammar TeacherJuly 05, 2014

    Not "I were" but "I was"

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2014

    huyu ni mfaransa, mbona hukukosoa "ze" kuwa "the"? Kama unataka kusahihisha hapa sio mahala pake anony hapo juu!

    Ujumbe umefika.

    Sasa je, hivi sisi weusi na hao wamanga tumeumbwa na Muumba yuleyule au kuna tofauti? Maana mambo tunayofanya na kufanyiana bila kuogopa hata sharia na utu yanatisha, unless kama itatubidi kukua kwa kuchinjana kwanza kama ilivyotokea huko Ulaya ndipo watu tuheshimiane na tueshimu sharia!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2014

    Na hiyo 'CASTADY' utasemaje?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2014

    Ni 'CASTODY' sio 'CASTADY'!!! Ila usahihi ni 'CUSTODY'

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2014

    Ukiwa una"wish" basi verb inakuwa "were" baadala ya "was." Kwa hivi katuni iko sawa hapo juu. Kitu ambacho nitakosoa kwenye katuni hii ni neno castody; jina hili lilitakiwa liandikwe "custody" na siyo "castody."

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2014

    @Grammar teacher hapo juu, umekosea. matumizi sahihi ni "I wish I were..." and not "I wish i was...". Unapotumia wish verb inakuwa "were" and not "was". I know it doesn't sound right, but that's what it is.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...