Home
Unlabelled
Sarkozy in Police Castody
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Not "I were" but "I was"
ReplyDeletehuyu ni mfaransa, mbona hukukosoa "ze" kuwa "the"? Kama unataka kusahihisha hapa sio mahala pake anony hapo juu!
ReplyDeleteUjumbe umefika.
Sasa je, hivi sisi weusi na hao wamanga tumeumbwa na Muumba yuleyule au kuna tofauti? Maana mambo tunayofanya na kufanyiana bila kuogopa hata sharia na utu yanatisha, unless kama itatubidi kukua kwa kuchinjana kwanza kama ilivyotokea huko Ulaya ndipo watu tuheshimiane na tueshimu sharia!!
Na hiyo 'CASTADY' utasemaje?
ReplyDeleteNi 'CASTODY' sio 'CASTADY'!!! Ila usahihi ni 'CUSTODY'
ReplyDeleteUkiwa una"wish" basi verb inakuwa "were" baadala ya "was." Kwa hivi katuni iko sawa hapo juu. Kitu ambacho nitakosoa kwenye katuni hii ni neno castody; jina hili lilitakiwa liandikwe "custody" na siyo "castody."
ReplyDelete@Grammar teacher hapo juu, umekosea. matumizi sahihi ni "I wish I were..." and not "I wish i was...". Unapotumia wish verb inakuwa "were" and not "was". I know it doesn't sound right, but that's what it is.
ReplyDelete