Wafanyakazi wa shirika la Posta wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao ndani ya maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania,akimuelezea mmoja wa wateja wao aliefika kwenye banda lao kwa ajili ya kufahamu huduma mbalimbali zitolewazo na shirika hilo,kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam
Wateja wakiendelea kudodosa mambo mbalimbali kuhusiana na huduma zitolewazo na shirika hilo hapa nchini
Mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania,akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja wao aliefika kwenye banda lao kwa ajili ya kufahamu huduma mbalimbali zitolewazo na shirika hilo,kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam
'' Karibu tena Mzee kwa huduma mbalimbali za Shirika la Posta'',ndivyo aonekanavyo akiambiwa na mmoja wa wafanyakazi wa shirika hilo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...