Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (hawapo pichani) wakati wa kutimiza siku 360 ofisini. |
Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA wakimsikiliza Mkurugenzi wa mamlaka hiyo(hayupo pichani) |
Meneja Fedha wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Grace Msiru akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake ya fedha. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...