Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Neville iliyopo Mbokomu, Moshi Vijijini, wakipozi mbele ya moja ya madarasa mapya. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Ofisa Elimu wa Wilaya ya Moshi, Simon Sheshe na ilihudhuriwa na wabunge, Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Susan Lyimo na Mbunge Lucy Owenya
 Zawadi za khanga kwa Wafadhili kutoka Ufaransa wakiwa na  Bibi Sarah Temba-Marchand na mumewe Bw. Gabriel Marchand ambao kwa pamoja wanaongoza Chama cha Elimu kwa Kilimanjaro huko nchini Ufaransa (Education pour le Kilimanjaro - EKD).

 Bibi Sarah Temba-Marchand na mumewe Bw. Gabriel Marchand ambao kwa pamoja wanaongoza Chama cha Elimu kwa Kilimanjaro huko nchini Ufaransa (Education pour le Kilimanjaro - EKD) wakiwa na cheti ya shukrani walichopewa.
 Wafadhili kutoka Ufaransa wakiwa na  Bibi Sarah Temba-Marchand na mumewe Bw. Gabriel Marchand ambao kwa pamoja wanaongoza Chama cha Elimu kwa Kilimanjaro huko nchini Ufaransa (Education pour le Kilimanjaro - EKD).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...