Home
Unlabelled
SOMO LA MAPISHI KUTOKA KWA CHEIF ISSA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bomba mbayaaaaaaaaaaaaaa duh safi sana hii kudadadeki wife umeona hii nataka na mimi tafadhali.
ReplyDeleteShekh JM
SASA HIYO FINISHING IPO WAPI JAMANII
ReplyDelete
ReplyDeleteMbona hujapika mpaka mwisho michuzi sasa unatuchakachua jamani
ReplyDeleteDUH MBONA UMEISHIA KATI IKO WAPI PART TWO, LOOKS SO AMAIZING MICHUZI YOUR SO CREATIVE
ReplyDeleteManshaalah Michuzi save our families with good meal.
CANADA
ReplyDeleteDUh chef una speed kweli yaani umetengenneza kwa haraka kweli lakini tunaomba sasa na video baada ya kuiva au hapo ndio vimeshaiva?
Mdau USA
ReplyDeleteMICHUZI UNAKOSEA SIO CHEIF NI CHEF AU UMEANDIKA KULUGHA NINI? WE REAL MISS CEREBLIT TV CHEF IN TANZANIA MICHUZI NA HUYU CHEF YOU CAN MAKE IT MORE PROFESIONAL NA FAMILY WA ENJOY COOKING.
DR. JJ France
ReplyDeleteAmazing skills from Chef Issa, hapo ndio vimeiva au bado? You always the best keep up the good job isiwe nguvu ya soda shusha vitu tuenjoy.
Mama Leonard
Sychels
Amazing skills from Chef Issa, hapo ndio vimeiva au bado? You always the best keep up the good job isiwe nguvu ya soda shusha vitu tuenjoy.
ReplyDeleteMama Leonard
Sychels
ReplyDeleteBriliant, cooking show
Prof. Jese M Tarimo
USA
ReplyDeleteMBONA MMECHELEWA SANA MWEZI SASA UNAISHA HII ILITAKIWA MWANZO MWA MFUNGO OK LEST WAIT AND SEE, THERE IS MORE TO COME? MICHUZI TV YOU WILL LOVE IT MHHHH SASA NAIPENDA HAPA UMENIFIKISHA MIMI NA KINA MAMA WOOOOOTE.
MAMITO, GELGIUM
Kingledha kigumuu!! Hiro rimjamaa rinamsahihisha mwenzie kwa kosa moja na renyewe rinatiemo makosa mawiri. Real badara real, na celebbrit badara ya celebrity. Kweli nyani haoni nanihii... ndekule. Hongera dogo Issa kwa kaziako nzuri.
ReplyDeleteMnyalukolo wa sinza Dar