Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2014

    Bomba mbayaaaaaaaaaaaaaa duh safi sana hii kudadadeki wife umeona hii nataka na mimi tafadhali.

    Shekh JM

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2014

    SASA HIYO FINISHING IPO WAPI JAMANII

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2014



    Mbona hujapika mpaka mwisho michuzi sasa unatuchakachua jamani

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2014


    DUH MBONA UMEISHIA KATI IKO WAPI PART TWO, LOOKS SO AMAIZING MICHUZI YOUR SO CREATIVE

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2014


    Manshaalah Michuzi save our families with good meal.

    CANADA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2014


    DUh chef una speed kweli yaani umetengenneza kwa haraka kweli lakini tunaomba sasa na video baada ya kuiva au hapo ndio vimeshaiva?

    Mdau USA

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2014


    MICHUZI UNAKOSEA SIO CHEIF NI CHEF AU UMEANDIKA KULUGHA NINI? WE REAL MISS CEREBLIT TV CHEF IN TANZANIA MICHUZI NA HUYU CHEF YOU CAN MAKE IT MORE PROFESIONAL NA FAMILY WA ENJOY COOKING.

    DR. JJ France

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2014


    Amazing skills from Chef Issa, hapo ndio vimeiva au bado? You always the best keep up the good job isiwe nguvu ya soda shusha vitu tuenjoy.

    Mama Leonard
    Sychels

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2014

    Amazing skills from Chef Issa, hapo ndio vimeiva au bado? You always the best keep up the good job isiwe nguvu ya soda shusha vitu tuenjoy.

    Mama Leonard
    Sychels

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 18, 2014


    Briliant, cooking show

    Prof. Jese M Tarimo
    USA

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 18, 2014


    MBONA MMECHELEWA SANA MWEZI SASA UNAISHA HII ILITAKIWA MWANZO MWA MFUNGO OK LEST WAIT AND SEE, THERE IS MORE TO COME? MICHUZI TV YOU WILL LOVE IT MHHHH SASA NAIPENDA HAPA UMENIFIKISHA MIMI NA KINA MAMA WOOOOOTE.

    MAMITO, GELGIUM

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2014

    Kingledha kigumuu!! Hiro rimjamaa rinamsahihisha mwenzie kwa kosa moja na renyewe rinatiemo makosa mawiri. Real badara real, na celebbrit badara ya celebrity. Kweli nyani haoni nanihii... ndekule. Hongera dogo Issa kwa kaziako nzuri.
    Mnyalukolo wa sinza Dar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...