Familia ya Chagula inasikitika kutangza kifo cha baba yao mpendwa Clement Chagula kilichotokea siku ya Ijumaa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, Dar es salaam.
Misa ya kumuaga marehemu itafanyika katika kanisa la st Albans jijini Dar es salaam siku ya Jumatatu tarehe 21 Julai 2014 saa saba mchana. Baada ya hapo mazishi yatafanyika katika makaburi ya kinondoni.

Bwana alitoa Bwana ametwaa
Jina lake na lihimidiwe
Jina lake na lihimidiwe
Amen
Poleni sana wafiwa: ndugu jamaa na marafiki. Marehemu namkumbuka sana. Tulisoma wote Mkwawa High School, yeye akiwa darasa moja mbele yangu.
ReplyDeleteMungu awapeni nguvu ya kustahimili msiba huu, na amweke marehemu mahali pema Peponi. Amina.
CHAGULA WA BREWERIS ZAMANI MTOTO PEKEE WA DR W.CHAGULA
ReplyDeleteAnn hapo juu marehemu si mtoto pekee ni first born ana wadogo zake.
ReplyDelete