Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma
za Jamii Margreth Sitta, akizungumza na wahabahari baada ya ufunguzi wa
mkutano.
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti
Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho (kulia) akiwa na washiriki wenzake
wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishwaji wa mada.
Mjumbe wa Chama cha Ukimwi Ulimwenguni na Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (kushoto) akifuatilia mkutano wa wadau wa Ukimwi kujadili matumizi sahihi ya rasilimali katika kupambana na Ukimwi uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii Margret Sitta, wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la UNAIDS nchini Tanzania, Patrick Brenny akiwasilisha mada
kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti
Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho akizungumza na wanahabari kuhusu
mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...