Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA,Mh.Angela Kairuki wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.
Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA,Mh.Angela Kairuki wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza,pichani kati Mwenyekiti wa Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Bi.Pilly Mpenda wakiwa wamezungukwa na washirki wengine mbalimbali wakiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.
Ngoma ya asili ya wasukuma ikipigwa kuwakaribisha washiriki mbalimbali waliokuwa wakiendelea kuwasiliasubuhi hii kwenye kongamanno hilo jijini Mwanza
Washiriki mbalimbali wakiendelea kujiandikisha kwa ajili ya ushiriki wa kongamano hilo
Mazungumzo ya utaratibu wa washiriki wa Kongamano hilo ukiendelea kuwekwa sawa na waandaaji .
Waandaji wa Kongamano hilo wakiendelea kujadiliana jambo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...