Familia ya marehemu mzee Kihago Jumbe wa Arusha Pangani mjini, wanasikitika kutangaza kifo cha Hadia (Makambi) Kihago Jumbe kilichotokea leo alfajir July 10, 2014 Dar es Salaam.
Mwili wa marehemu utasafirishwa leo kuelekea Arusha, Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Ijumaa tarehe 11-07-2014 Arusha Mjini baada ya swalat I'jumaa
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mzee KIhago, Pangani Arusha.
INALILAHI WAINAILAIHI RAJIUN!!!
inna lillah wa inna ilayhi rajiun
ReplyDelete