Familia ya marehemu mzee  Kihago Jumbe wa Arusha Pangani mjini, wanasikitika kutangaza kifo cha Hadia (Makambi) Kihago Jumbe kilichotokea leo alfajir July 10, 2014 Dar es Salaam.
 Mwili wa marehemu utasafirishwa leo kuelekea Arusha, Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Ijumaa tarehe 11-07-2014 Arusha Mjini baada ya swalat I'jumaa 
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mzee KIhago, Pangani Arusha.
  
INALILAHI WAINAILAIHI RAJIUN!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2014

    inna lillah wa inna ilayhi rajiun

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...