Banda la Umoja wa Mataifa katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam
 Kijana majasiriamali akionesha kazi zake kwa waliotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye Maonesho ya SabaSaba. Yeye ni mmoja kati ya vijana wengi wanaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali kufuatia mpango wa Umoja huo wa kuendeleza watoto, vijana na kinamama 
 Mkurugenzi wa mipango na mahusiano wa TIB Development Bank Bw. Jaffer S. Machano (mwenye miwani) akiwa na wafanyakazi wenzie wa benki hiyo inayokuja juu kwa kasi kwenye banda lao katika Maonesho ya SabaSaba
  Afisa mauzo mwandamizi wa kampuni ya Property International Ltd Bw. George Colyvas (kushoto) akitoa maelezo kwa mteja aliyewatembelea bandani kwao leo kwenye Maonesho ya SabaSaba. Kampuni hii inajishughulisha na mipango miji, uuzaji wa viwanja vilivyopimwa, ujenzi wa nyumba za makaazi na biashara pamoja na ushauri na mambo mengine kibao (BOFYA HAPA)



 Ankal akiwa na wadau wa TTCL bandani pao kwenye Maonesho ya SabaSaba. Shirika hili la umma hivi sasa linatamba na huduma za intaneti ya kasi iitwayo "BANJUKA PLUS" (BOFYA HAPA) yenye modem inayokuwezesha kuperuzi bila kikomo (unlimited time) ambapo hutoa punguzo maalumu katika saa tofauti za matumizi.

 Banda la IFM 
 Banda la Tanzania Standard Newspapers, wachapaji wa Daily News na HabariLeo. Kwa taswira zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...