TIB inawakaribisha wadau wote kwenye banda lao la katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara 77 kuona jinsi
gani wamewawezesha wateja wao kuzalisha bidhaa na kutoa huduma bora
Kuendana na kauli mbiu ya 77 'Linking
production to markets' TIB imefungua mgahawa wa kisasa kabisa ndani ya
banda lake la 77 kuonyesha bidhaa za usindikaji na mazao
zinazozalishwa na wateja wao kama nyama, kuku, mboga mboga, vinywaji,
asali, mikate, chai, kahawa n.k
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...