Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi na Waziri  Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha akimsimika Tonny Ngombale Mwiru kuwa kama wa UVCCM kata ya Kijitonyama.
 Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana kata ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru akiwapungia mkono wanachama wa CCM mara baada ya kusimikwa kuwa kamanda wa UVCCM kata ya Kijitonyama.
 Mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni waziri kiongozi wa zamani wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha,katibu wa UVCCM kata ya Kijitonyama Fatuma  Mgeni na kamanda mpya wa UVCCM  kata hiyo Tonny Ngombale Mwiru wakifuatilia jambo.
Kamanda mpya wa UVCCM kata  ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru akitoa nasaha mara baada ya kusimikwa kushikilia nafasi hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...