Pichani kulia ni Mkurugenzi msaidizi Idara ya Mazingira kutoka ofisi ya
makamu wa Rais Bi Magdalena Mtenga, akifafanua jambo katika ufunguzi wa
warsha ya mafunzo ya mafundi majokofu na viyoyozi kuhusu teknolojia
mbadala za upozaji na rafiki kwa tabaka la ozoni mjini Arusha leo.
Sehemu ya washiriki katika warsha ya Mafunzo ya mafundi majokofu na
viyoyozi mjini Arusha kuhusu Teknolojia Mbadala za upozaaji na rafiki
kwa tabaka la ozoni.
Aliyesimama,
Mkurugenzi wa idara ya Mazingira Ofisi ya makamu wa Rais dkt. Julius
Ningu akizungumza machache kwa wanawarsha na wataalam katika warsha ya
mafunzo kuhusu teknolojia mbadala za upoozaji na rafiki kwatabaka la
ozoni mjini Arusha leo.. Aliyekaa ni Mkuu wa
Chuo cha VETA Moshi. Bw.Daniel Komba(Picha zote na Evelyn Mkokoi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...