Afisa Utalii wa Hifadhi ya Ziwa Manyara,Jully Lyimo(wa pili kushoto)akiwaongoza Wabunge wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania na Maafisa wa Bunge waliotembelea Hifadhi hiyo
 Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu akiwa na Wajumbe wa Bunge hilo na Maafisa wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya Mkutano wa 45 wa CPA utakaofanyika jijini Arusha mwezi huu,jana walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara mkoa wa Arusha
 Mwikolojia wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara,Yustina Kiwango akizungumzia hali ya Hifadhi hiyo kwa Wajumbe Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi la Tanzania(CPA)waliotembelea  ikiwa ni maandalizi ya Mkutano mkubwa utakaofanyika mwezi  huu  jijini Arusha.
 Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire,Stephano Qolli akitoa taarifa fupi ya Hifadhi hiyo kwa Wajumbe wa  Bunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania  wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya Mkutano wa 45 wa CPA walipotembelea Hifadhi hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wake,Wafanyakazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wafanyakazi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...