Mzazi wa mtoto Idda Baitwa,Bw Respcius Baitwa
akifanya maandalizi na mwanae ya kuanza safari ya kuweka rekodi
ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Mtoto
Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na
ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza
safari ya kuweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika
lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya
kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw Respicius Baitwa
akshuhudia. HABARI ZAIDI INGIA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...