Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu John
Mkwawa wakati akisoma taarifa wakati akifungua mkutano wa siku moja na waandishi
wa habari wa Mkoa wa Iringa unaohusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga
kura awamu ya kwanza na matumizi ya Teknolojia mpya ya Biometric Voter
Registration uliofanyika katika ukumbi wa ofisi za mkuu wa mkoa wa Iringa.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wa NEC kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga
kura awamu ya kwanza na matumizi ya Teknolojia mpya ya Biometric Voter
Registration uliofanyika katika ukumbi wa ofisi za mkuu wa mkoa wa Iringa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mkoa wa Iringa.
Mkurugenzi wa Idara ya habari na
Elimu kwa Wapiga Kura Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ruth Mashama akizungumza kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga
kura awamu ya kwanza na matumizi ya Teknolojia mpya ya Biometric Voter
Registration uliofanyika katika ukumbi wa ofisi za mkuu wa mkoa wa Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...