Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe (kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress,
ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Waziri Chikawe na Balozi huyo
walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya
Balozi huyo nchini.
Balozi
wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri
Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na Wizara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa
Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati
ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi Childress alimtembelea
Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...